Followers

YAHOO MAIL vs MODEM

CASE STUDY 3
kumekuwa na malalamiko mengi sana juu ya modem nyingi siwezi kusema zote kuwa zina fail katika kufungua account ya yahoo maana yake kwa kusign inakupa majibu ya kuwa umekosea email yako au password yako.
UFUMBUZI WAKE.
chukua computer/laptop yako nenda mahala unapo weza kupata ethernet cable RJ 45 maana yake uende internet cafe au kwingine neko  kisha weka katika port yako ya erthnet kisha fungua email yako ya yahoo kisha sign ukimaliza rudisha modem yako na uendelee kutumia kama kawaida na hapo ndipo utakuwa umepata ufumbuzi wa tatizo lako hilo.

FAILURE OF CLEAN INSTALLATION

CLEAN INSTALLATION is the process of removing the old or corrupted or new installation of the window or operating system on your computer.
there some cases which i want to share with you about this,
CASE STUDY 2.
there some cases which is not necessary to occur in others but kwa mfano wakati mwingine hard disk inaweza kuwa na portition wakati wa kufanya installation NINI KITATOKEA HAPO ukifanya ile booting ya kawaida kwa ajili ya installation ya OS kama kuna partion na haujaifuta basi hapo ndipo napenda kushare na wewe
kuna baadhi ya computer wakati wa kufanya installation usipo delete partion iliyopo basi wakati wakuja kufanya booting kwa ajili ya kuanza kuingiza file system zake huwa ina acha kutambua path ile ya hard disk yako na kuandika SYSTEM ERROR / HARD DISK CORRUPTED/NO HARD DISK when you see that boot for another time until to the step of choosing the path on the HDD and check if there any partition on it and delete that partition then start again for new installation that will be successfully and you will enjoy     
SWALI :COMPUTER YANGU IMEBADILISHIWA WINDOW NA KUWEKA WINDOW 7 LAKINI SIPATI SAUTI.
TATIZO NINI?
JIBU:POLE KWA USUMBUFU HUO,
          TATIZO LA HIVYO LINAWEZA SABABISHWA NA VITU VINGI SANA SIO KAMA UNVYOWEZA FIKIRIA
          1.ANGALIA DRIVER ZA SAUTI NDANI YA COMPUTER YAKO KAMA ZIMEINGIA KWA KUFUATA NJIA IFUATAYO,
                 i- right click my computer- properties then fuata njia zifuatazo kama invyoonekana katika picha
      
                













hapo utaingia upande wa device manager kisha utakwenda kuangalia multmedia and audio kama utakuta hakuna alama ya njano katika eneo hilo elewa kwamba computer yako ipo safi upande wa driver na ukikuta kuna alama ya njano elewa kuwa hilo ni tatizo na fanya utaratibu wa kutafuta hiyo driver au ukishindwa nenda kamuone mtaalamu akusaidie.

2.ni lazima ujue ya kwamba hiyo computer  uliyopokea imetengenezwa kwa default ipi kwanza kupitia uzoefu wangu nitakueleza kitu "wengi wetu tumekuwa tukipenda kutumia window 7 kama  operating system ambayo ni mpya" sio kila computer ukiweka window 7 basi utapata kile unachokihitaji kutoka katika  window 7 na moja ya tatizo ni kukosekana kwa sauti hapo unatakiwa kujua kuwa hiyo sio chaguo sahihi la computer yako.
3.badala ya kufanya test za software lakini bado kujapata jibu sahihi au suluhu ya tatizo lako basi ndio wakati mwafaka wa kufikiria katika vifaa yani HARDWARE.
    hapo kuna ishu tena na majibu ya hapa ndio yatakayo amua jibu moja kama computer yako imeharibika njia ya sauti au lah.
           I.muulize mteja wako kama anatumia earphone au speaker za nje kusikilizia katika computer yake jibu likiwa ndio basi,tembelea eneo la hapo ndani ya computer then check kwa umakini sana maana huwa kuna pini inayo gusa sehemu ya bodi ya computer pindi unapochomeka stereo pini sasa ukichomoa vibaya itagusa bodi yako na kamwe hautapa sauti mpaka urekebishe huo mfumo.vinginevyo unaweza fikiria juu ya hardware kuharibika.