CASE STUDY 3
kumekuwa na malalamiko mengi sana juu ya modem nyingi siwezi kusema zote kuwa zina fail katika kufungua account ya yahoo maana yake kwa kusign inakupa majibu ya kuwa umekosea email yako au password yako.
UFUMBUZI WAKE.
chukua computer/laptop yako nenda mahala unapo weza kupata ethernet cable RJ 45 maana yake uende internet cafe au kwingine neko kisha weka katika port yako ya erthnet kisha fungua email yako ya yahoo kisha sign ukimaliza rudisha modem yako na uendelee kutumia kama kawaida na hapo ndipo utakuwa umepata ufumbuzi wa tatizo lako hilo.